Sports

Tottenham Hotspurs yamsajili Wanyama

Victor Wanyama
Tottenham Hotspur imekubali kumsajili kiungo wa kati wa Southampton mkenya Victor Wanyama kwa kima cha pauni milioni 11.
Inaaminika kuwa wanyama mwenye umri wa miaka 24, ambaye alijiunga na Southampton akitokea Celtic mwezi Julai mwaka 2013 kwa pauni milioni 12.5, kwa sasa anafanyiwa uchunguzi wa kiafya.
Sasa wanyama ataungana na meneja wake wa zamani Maurico Pochettino.

About Unknown

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.