Sports

Picha:cavaliers washinda taji la NBA

Timu ya kikapu ya cleveland cavaliers hapo jana ilifanikiwa kuishinda timu ya Golden state warriors kwa vikapu 93-89,hivyo kuibuka mabigwa wapya wa NBA huu ni ubigwa wao mkubwa toka mwaka 1964.
Stephen Curry alifunga point 17

LeBron James akimkumbatia Kevin Love baada ya mechi kuisha
James akimzuia  Andre Iguodala

Kyrie Lrving alifunga point 26

Kocha wa Cleveland akiongeo na refa wakati wa mapumziko

Curry akimkaba Love

About Unknown

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.