Siku ya jana kulikuwa na uzindunzi wa siku ya wahandisi katika chuo cha sayansi na tekinologia(MUST engineering day) ambayo iliambatana na maonesho ya kazi za kihandisi na ubunifu kutoka kwa wanafunzi.Mgeni rasimi kwenye sherehe hiyo alikuwa Mhe Amos Makalla mkuu wa mkoa wa mbeya ambeya kwenye jumbe yake alihimiza vijana kusoma vitabu na kufanya tafiti nakuzitumia tafiti hizo kwa maendeleo ya jamii,pia kulikuwa na uwasilishaji wa mada kutoka kwa mjumbe wa CRB ambeya pia alihimiza vijana kujikita katika uwazishaji wa makampuni pindi wanapo maliza masomo yao.Hafla hiyo iliambatana pia na ugawaji wa vyeti kwa wanachama wapya wa IET(institution of Engineers Tanzania)
|
Sehemu ya meza kuu |
|
|
Aina ya gari lilobuniwa |
|
Neighborhood design |
|
Automatic scaffold |
|
automatic scaffold2 |
|
automatic Irigation plant |
0 comments:
Post a Comment